iqna

IQNA

THERAN (IQNA) msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan ameashiria kuhusu vitendo hivyo vya kuchomwa moto nakala za Qurani Tukufu katika nchi za Sweden na Norway, huku akitoa indhari kuhusu wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
Habari ID: 3473124    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31

IQNA: Quranabad ni kijiji kilicho katika mji wa kusini mwa Iran wa Shiraz ambapo wanakijiji waka 63 wamehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3470806    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/21